Jumatano, 19 Juni 2013

KARIBU KATIKA BLOGU YETU YA MAFANIKIO

MAONO
Mtu huwa kile anachokula. Akilishwa habari mbaya tupu, atakula mabaya. Licha ya changamoto zilizopo mafanikio yapo.

Neno la kushindwa ni adui wa mafanikio.